Tucheze Sportsbook

Tovuti mpya ya Kamari za spoti yenye uwezekano mkubwa.

 

Tovuti ya Kamari za Spoti ya Tucheze

Kama unapenda kamari, basi ukiipa macho tovuti ya Tucheze, kuna uwezekano mkubwa kuwa utaipenda! Kwanini? Makala haya yameandikwa kwa kipekee kukupa jibu kamilifu la hili swali. Kwa dakika chache zinazofuata, utapata arafa itakayodokeza kila kitu unachotaka kujua kuhusu Tucheze, vigezo vinavyoipa kipaumbele ukiilinganisha na tovuti nyingine pamoja na mapendekezo yetu .Kama kawaida utaweza kujua ukuzo ama bakshishi za kipekee zilizoandalia kwa manufaa yako kama mchezaji kamari katika hii tovuti.

Chaguo Badili La Tucheze

Betin Kenya ipo tayari! Na bakshishi ambayo unawezapata baada kujisajili inaweza fika hadi shilingi 500,000. Kwa hivyo ni mojawapo ya tovuti ambazo zinastahili kukupa msisimko wa kucheza Kamari. Kama unataka kujua mengi kuhusu tovuti ya Kamari ya Tucheze, pitia Makala haya kwa umakini kwa sababu arafa unayotafuta kuihusu iko tayari inakusubiri papa hapa!
 

PITIA UTATHMINI WA BETIN KENYA

Vilevile, unawezaingia katika tovuti ya Betin Kenya na ujisajili sasa hivu! Hakuna haja ya kungoja! Nakili huo msimbo na uingie kwenye tovuti hii ya kaari za spoti sasa hivi.

CHEZA KATIKA BETIN SASA HIVI

Njia ya kujisajili

Njia ya kujisajili kwa Tucheze ni rahisi sana kuliko njia nyingine zilizo katika kwa tovuti zingine za Kamari zilizo kwenye mtandao. Ili Kujisajili katika Tucheze, tafuta kitufe cha kujisajili chenye rangi ya chungwa katika kona ya juu ya mkono wa kulia katika ukurasa wa nyumbani wa wavuti wa Tucheze. Ukishabonyeza kitufe hicho, kitakuelekeza katika fomu ya kujisajili mtandaoni. Ukishawasili katika ukurasa huo, jaza nambari yako ya simu na nenosiri. Thibitisha kwamba ushahitimu miaka zaidi ya 18 halafu ubonyeze kitufe chenye neno ‘register’ kilicho mwisho kabisa katika fomu hii ya mtandao ya usajili. Kutoka hapo, utakuwa tayari kusonga kwenye hatua inayofuata! Ukishajisajili, bonyeza kitufe chenye nambari yako ya simu katika kona ya juu iliyo upande wa mkono wako wako kulia kama unataka kusasisha chochote kile ulichojaza kwenye sehemu ya maelezo yako. Kwa kawaida unaweza weka dau bila kusasisha maelezo yako mafupi bora tu ulijaza kwa usahihi kwani unaweza kupata ushindi wako ukitaka wakati wowote.

Bakshishi na Mrupurupu ya Tucheze

Kwa kawaida, maruprupu na bakshishi zilizopo katika sekta ya kamari nchini Kenya huwa asilimia mia moja (100%) ya amana yako au pesa utakazoweka kenye akaunti yako ya kucheza kamari. Hata hivyo, bakshishi inayotolewa na Tucheze ni tofauti uklinganisha na bakshsishi zinazokua na umaarufu katika tovuti nyingine za kamari hapa nchini. Bakshishi inayotolewa na Tucheze pia yajulikana kama Adisia Chapaa bonus. Adisia Chapaa huahidi wachezaji kamari katika tovuti hii hadi asilimia mia moja (100%) ya ushindi unaowezekan. Kwa mfano, kama ushindi wako utakua wa shilingi 100,000 utapata shilingi 200,000 kwa jumla kam uteuzi wa dau utahitimu mahitaji ya marupurupu au bakshishi ya Tucheze .Mahitaji ya kuhutimu bakshishi ya Tucheze ni kama ifuatavyo:

  • Uteuzi wako lazima uwe wa angalau matukio manne
  • Kila orodha lazima iwe na takwimu chini ya moja nukta mbili (1.2)

Bakshishi hii imeundwa kwa namna ambayo inakuongezea marupurupu ya bakshishi unapochagua matukio mengi zaidi. Jambo bora zaidi unalohitaji kujua kuhusi kuweka uteuzi wako wa dau katika Tucheze ni kuwa, hakuna haja ya kupoteza wakati ukifikiria kuhusu kuhesabu takwimu na bakshishi, tovuti hii ya kamari itakufanyia hayo yote!

Kamari za Spoti za Tucheze na Takwimu za Tucheze

Masoko ya kamari katika tovuti hii ni nyingi sana. Yamegawanywa katika vikundi tano ili ikukupa njia rahisi zaidi ya kuzipata. Soko za tovuti hii zimegawnywa kwa makundi tano maalum ambayo ni; ; ligi maarufu zaidi za kandanda, ligi bora zaidi za mpira wa kikapu, ligi kuu za tenisi, spoti za Marekani za usiku, michezo ya kitaifa na ligi ya kandanda ya UEFA. Mbali na hayo, utapata masoko murwa ya mchezo maarufu ya hapa nchini kenya kwa mfano, kandanda, besiboli, mchezo wa raga, kriketi na miereka.

Takwimu za Tucheze zina ushindani mkubwa ukilinganisha na takwimu za tovuti zingine za kamari hapa nchini kwa sababu tovuti hii bado ni mpya sana katika sekta hii. Utapata kuwa kila mechi au tukio katika Tucheze iko na takwimu zilizokaribiana na zile za tovuti zenye kubwa na maarufu zaidi kwenye sekta ya kuweka kamari kwa kupitia mtandao.

Kwa hivyo ukitaka kuvuna ushindi mkubwa zaidi katika kila dau unayoweka, jaribu bahati yako kwenye tovuti ya Tucheze.

Msaada kwa wateja

Unaweza kuwasiliana na kampuni hii kupitia vituo kaddhaa za mawasiliano kama kupiga simu, barua pepe, kaunti za Facebook na Twitter. Hutangoja kwa wakati mrefu kuwasiliana na ajenti wa msaada wa wateja kupitia nambari yao ya simu katika tovuti ya kampuni. Hili si jambo la kushangaza kwasababu ni kampuni ndogo na wateja kidogo zaidi kuliko kampuni za kamari zilizoenea zaidi kama Sportpesa na Betin Kenya. Kampuni hii ya tovuti iko na usikivu wa haili ya juu kwa wateja wake wanaowasiliana nao kutumia vituo vya mtandao kama Facebook na Twitter. Kwa hivyo, kuwasiliana nao ni rahisi sana.

Mbinu ya kulipa

Kwa sasa, shughuli za amana na uondaji wa pesa ziko katika jukwaa la MPESA ambayo inatumika sana hapa nchini. Namabri ya Tucheze malipo ya amana kupitia MPESA 290079. Ni dhahiri kuwa hii ni nia rahisis sana ya malipo kwa wakenya kwani zaidi ya wakenya milioni 26 (kuanzia Aprili, 2017) wanatumia jukwaa la mpesa katika shughuli za maendelezi ya kimaisha ya leo .Kwa maneno mengine, kwa maana Tucheze hutumia MPESA, inakupa nafasi ya kutoa ushindi wako wakati wowote, mahali popote nchini.

Tovuti ya Tucheze

Bila shaka, hiki ndicho kigezo ambacho pengine Afrobet infaaa kuimarisha zaidi. Tovuti hii haina uzuri wa kuvutia ukilinganisha na tovuti zingine za kuweka dau kwenye mtandao hapa nchini. Picha zilizowekwa kwenye tovuti hii hazina uwiano maalum inavyostahili, na isitoshe, maelezo mengine si kamilifu. Kwa ufupi, hii tovuti haitapangwa na kutolewa kwa ustadi kama tovuti zinginezo hapa nchini.

Kile Ambacho Unafaa Kujua kuhusu Tucheze

Kampuni mzazi ya tucheze ni Afrobet ambayo asili yake ni hapa nchini na inapata usaidizi wa kiteknolojia kutoka BtoBet (amabyo ni jukwaa maarufu ya michezo ya kamari kutoka Ulaya). Ukweli ni kuwa Afrobet iliamua kujishughulisha na huduma za Btobet ili kuipa kipaumbele katika kamari. Hii ni kwasababu Btobet ni mojawapo ya kampuni zinazojulikana zaidi kwa sababu ya usdaid wai katika shughuli ya michezo ya kamari kwenye mtandao. Kampuni hii ya BtoBet ndio kampuni zazi ya jukwaa la michezo ya kamari la Super – fast B– Neuron amabyo AfroBet hutumia kuendesha shughuli zake za kamari kwenye mtandao. Matokeo ya ushirikiano huu ni huduma murwa kabisa kupitia kwa mtandao kwa muda halisi unapotumia mtadao kudurusu tovuti hii au kuweka dau katika Tucheze.

Kabla hii tovuti hii ya Tucheze ipate umaarufu zaidi kutokana na huduma zake ni heri uanze kujisajili na ushinde katika Betin Kenya.

Kamari za Spoti Katika Betin Kenya

Betin Kenya ni mojawapo ya tovuti zinazopata faida kubwa zaidi hapa nchini. Ina Leseni kutoka kwa Gamcode amabayo inaendesha shughuli za chapa za kapuni ya Betin Brand ikiwa na ushirikiano maalum na Logispin Group (mojawapo ya tume za kubwa zaidi za Kamari huko Ulaya). Betin inathibitiwa na tume la BCLB (Betting Control and Licensing Board). Uhusiano wake na Logspin pamoja na ushahidi tosha kuwa ina leseni na inathibitiwa na BCLP, yamaanisha kuwa ni mojawapo ya kampuni za kamari za kuaminika nchini.

Tumetoa ulinganisho huu na Tucheze kutokana na ukweli kuwa kampuni ya Betin Kenya ni mojawapo ya kampuni zilizo na bakshishi kubwa zaidi na marupurupu bora zaidi hapa nchini. Kwa kujisajili na Betin Kenya unaweza jifaidi na bakshishi ya amana hadi asilimia hamsini. Ukilinganisha bakshishi hii ya kile utakachozawadiwa katika kampuni nyinginezo za kamari nchini utapata kuwa kuna tovuti zingene amabzo hat haziwapi wachezaji Kamari marupurupu yoyote baada ya kujisajilisha ama kuweka dau katika tovuti yao. Ili upate asilimia hamsini ya bakshishi, ni lazima ujisajili kutumia msimbo wa MAXBONUS. Msimbo huu utakupa dhamana ya kupata marupurupu halisi. Pitia utathmini wetu wa Betin Kenya kujua mengi zaidi kuhusu utoaji wao wa bakshishi na kile ambacho unapaswa kufanya ili uanze kupata faida Zaidi katika michezo yako ya kamari.

Pia, unaweza temebelea tovuti ya Betin Kenya na ujisajili! Hakuna haja ya kungoja! Nakili hiyo msimbo na utembelee tovuti hii ya Kamari za spoti sasa hivi!

CHEZA KATIKA BETIN SASA HIVI!

en sw