Betin Kenya Promo Code 2018

Pata msimbo wako wa Betin Kenya hapa uweze kushinda bakshishi ya juu zaidi!

 

misimbo ya Marupurupu ya Betin Kenya 2018

Kama mkaazi wa hapa nchini kuna uwezekano mkubwa kuwa umewahi jionea matangazo katika runinga ama katika magazeti kuhusu tovuti za kamari za aina tofauti zikijigamba kuwa wao ndio wanaominika zaidi na magwiji hodari katika soko la kamari ya kimtandao. Kuhusiana na hilo basi, tutazuru kwa undani, mapana na marefu kuhusu Betin Kenya na kwa maelezo na ufafanuzi zaidi tuone ni misimbo ya marupurupu na bakshishi ya kamari gani wanayowapatia wateja wake. Kwa kutumia mbinu hiyo tutaweza kukuhakikishia kama wao ndio magwiji wa kweli katika soko la kamari hapa nchini ama ni kujigamba tu.

Betin Kenya iko na uhusiano wa karibu sana na kundi maarufu la GoldBet Group ambalo ni hodari sana na kubwa zaidi barani Uropa likiwa na mamia ya maduka ya kamari kwenye nchi kavu pamoja na maduka mengi ya kimtandao. Uhusiano huu ni thibitisho thabiti kuwa Betin Kenya kama kampuni ya kamari ya kimtandao imekita mizizi katika soko la kamari hapa nchini Kenya. Jambo kuu linalojitokeza wazi wazi katika tovuti hii ni ule utumizi wa msimbo wa marupurupu na bakshishi wa Betin Kenya wa MAXBONUS. Msimbo huu wa marupurupu na bakshishi huwawezesha wakenya kupata bakshishi nono zaidi inayofikia asilmia 50% ya thamani ya ushindi wao. Hamna tovuti nyengine ile ya kamari hapa nchini inayotoa msimmbo wa marupurupu na bakshishi za kamari kama huu.

Maelezo kuhusu Bakshishi ya Betin Kenya

Msimbo wa marupurupu wa Betin Kenya

Kitengo cha Msimbo Wa MarupurupuKinachohitajika
Msimbo wa marupurupu wa Betin KenyaMAXBONUS
Asilimia5 hadi 50%
Kiwango kidogo cha bakshishiShilingi 50/- pesa ya Kenya
Kiwango cha juu Zaidi cha bakshishiShilingi Nusu Milioni (500,000)
Nambari ya matukio katika ukurasa wa kamari yako5 hadi 14
Kiwango kidogo cha takwimu za matukio1 hadi 20

 

Cheza Kwenye Betin Kenya

Pata majibu ya maswali yako hapa!

Kujisajili kwa Betin Kenya

Utaratibu wa kujisajili kwa tovuti ya Betin Kenya ni rahisi sana na wala hakuna purukushani zozote zile. Weka maelezo yako ya kibinafsi halafu uweke nambari yako ya simu. Maelezo haya yote hutumika wakati ambapo kutatokea haja ya kuwasiliana na idara ya huduma ya wateja. Fauka ya hayo, sidhani kuna mtu yoyote yule amabaye angetaka kukosa tuzo lake la hela baada ya kushinda jackpot ama shindano la jungu kuu kisa mkasa eti hakuweka maelezo yake ya kibinafsi kikamilifu. Maelezo haya ni kama vile majina yako kamili kama yanavyoambatana katika vyeti vyako vya kujitambulisha kama vile kitambulisho na nambari yako ya kitambulisho. Halafu usisahau kuweka Msimbo wa marupurupu na bakshishi wa Betin Kenya wa MAXBONUS katika ukurasa wa mwisho wa kujisajilisha sehemu ya chini ya ukurasa huo katika mabano maalumu yaliyoandikwa “Promotion Code” au “Msimbo wa Marupurupu na Bakshishi”.

Tips

CHEZA KATIKA BETIN SAA HII!

Masoko ya Michezo ya Kamari ya Betin Kenya

Kampuni hii iko na maelfu ya masoko ya kamari ambayo yatakufurahisha sana bila shaka. Msimbo wa marupurupu wa Betin Kenya utakupa nafasi ya kupata faida ya juu zaidi unapowekelea kamari yako kwa ligi kuu ya Uingereza, Ligi ya Ujerumani-Bundesliga na matukio mengine yale ya michezo ya nyanja tofauti tofauti.

Jinsi ya Kushiriki Katika Msimbo wa Marupurupu

Ukitumia msimbo wa marupurupu wa MAXBONUS unaweza jishindia maelfu ya pesa ukiweka kamari ya matukio mengi. Ili kupata hela hii ya bure, unachohitaji kufanya ni kujisajili kiukamilifu katika tovuti ya Betin Kenya halafu uwekeze kamari yako ambayo inastahili kuwa kati ya shilling hamsini na nusu milioni (50/- – 500,000/-).

Leseni

Tovuti ya kamari ya Betin Kenya ndio iliyo salama zaidi na inayoaminika sana hapa Kenya. Huhitaji kuwa na uwoga wa kupoteza pesa zako kwa matapeli. Hii ni kwa sababu kampuni hii imesajiliwa kiukamilifu hapa nchini na inapatiwa mwongozo na tune kuu linalosimamia kampuni za kucheza kamari (BCLB) inayozingatia na kuimarisha usawa na usalama wa jinsi ya utenda kazi wa kampuni hizi za kamari hapa nchini Kenya. Fauka ya hayo, tovuti yenyewe imelindwa na kuchungwa sana na ufundi wa kiteknolojia wa hali ya juu zaidi unayoipatia mitambo yake ya tovuti usalama wa hali ya juu zaidi ukilinganisha na kampuni zengine za tovuti za kamari hapa nchini hivyo basi hakuna mtu hata mmoja anaweza kuiba maelezo yako ya kibinafsi kwa malengo ama madhumuni yoyote yale. Maelezo yako ya kibinasi yako katika mikono salama salimini. Betin Kenya imekuhakikishia kiukamilifu usalama wa maelezo yako ya kibinafsi. Hivyo basi usiwe na shaka kamwe!

Sheria na Masharti ya kucheza Kamari

Kushinda pesa za bure kwa Betin Kenya ni rahisi sana na si jambo gumu kamwe. Ili kushiriki katika msimbo huu wa marupurupu, kuna mambo kadha wa kadha ambayo unafaa kuyazingatia na kuyaweka akilini mwako. Kwanza kabisa, utajishindia pesa hii ya bure kwa kuweka pesa yako kwa kamari ya matukio mengi angalau matukio matano. Kwa kufafanua tu, kamari ya tukio moja hairuhusiwi na wala haitakupa bakshishi na marupurupu yoyote ya kamari. Hili ni jaribio la kufanya kushinda marupurupu na bakshishi kuwa na ugumu kiaisi lakini fahamu kuwa bakshishi na marupurupu haya bado yanaweza kushindika. Pili, ili kushinda marupurupu na bakshishi kubwa za pesa basi unahitajika kuwekeza matukio mengi ya mchezo katika kamari yako.

betin_kenya_promotions

Kampuni hii imefanya mashindano kwa jinsi ya kwamba unaweza chagua kiwango cha ugumu wa mchezo (idadi ya matukio) ambayo vile vile huchangia pakubwa kiasi cha pesa utakayoshinda. Kulingana na idadi ya matukio na michezo utakayoweka katika kamari yako ndivyo itakavokuwa nono hela yako utakayoshinda. Tatu, fahamu ya kwamba kiwango kidogo cha pesa unachohitajiwa kuweka katika kamari ya matukio mengi ni shilingi hamsini. Hivyo basi hata kama hauna kiwango kikubwa cha pesa bado uko na nafasi ya kushinda bakshishi ya kamari ya Betin Kenya. Kama uko na uhakika dhabiti wa michezo na matukio uliyochagua katika kam,ari yako, basi unaweza kuweka pesa nyingi zaidi ili kukuwezesha kushinda pesa nyingi zaidi. Jambo la muhimu zaidi la kuzingatia, ni kwamba kuna njia mbili za kukuwezesha kushinda msimbo wa marupurupu wa Betin Kenya 2018: njia ya kwanza ni kwa kuongeza idadi ya matukio ama michezo katika kamari yako na njia ya pili ni kwa kuongeza kiwango cha fedha unachoweka katika kamari yako. Hivyo basi kama ulivyoona kushinda kwa tovuti ya Betin Kenya sio jambo la kukuchanganya. Unachohitaji kufanya ni kufuata maelezo haya halafu ushinde zaidi katika tovuti hii.

why_join_betin_kenya

Tumia faida ya utoaji wa Betin Kenya.

Vigezo vya Kuongeza Ushindi Tatika Tovuti ya Betin Kenya

Hakikisha kwamba wakati wa usajili unaweka maelezo ya ukweli. Ukiweka maelezo ya kitapeli utasumbuka sana wakati wa kutoa pesa yako hususani ukiulizwa ujitambulishe zaidi kwa kutoa maelezo zaidi (itafanyika hasa ukishinda pesa nyingi). Vile vile hakikisha umeweka msimbo wa marupurupu wa MAXBONUS wa Betin Kenya wakati wa usajili. Hii ndiyo njia pekee ya kukuhakishia kushinda pesa za bure.

label_promo_maxbonus

Kamari ya Rununu ya Betin Kenya

Sio kampuni nyingi za kamari ya michezo zilizo na tovuti ya kamari ya rununu iliyorahisishwa zaidi kama ilivyo tovuti ya Betin Kenya. Baada ya kufungua tovuti ukitumia rununu yako, utapata kila kitu unachohitaji kutoka kwa jinsi na namna ya usajili hadi kitengo cha mawasiliano cha huduma ya wateja. Hutaweza tu kuwekeza kamari yako ya msimbo wa marupurupu wa kamari ya matukio mengi, bali hata utaweza kushiriki kwa jackpot ama jungu kuu na pia aina zingine zile kamari. Pia utaweza kujionea majibu pamoja na kuweza kufuatilia michezo na matukio yanayoendelea kutoka kwa rununu yako.

Kwa kumalizia basi, msimbo wa marupurupu wa Betin Kenya 2018 ni moja kati ya msimbo ya maruprupu bora zaidi hapa nchini: unachohitaji kufanya ni kujisajili kwa tovuti na uweke pesa. Baada ya kuweka pesa basi weka kamari ya matukio mengi (matukio 5 ama zaidi) kwa angalau shilingi hamsini pesa taslimu. Hii itakuweza kuweza kushinda msimbo wa marupurupu pamoja na bakshishi za kamari. Utaratibu wa kushinda bakshishi na marupurupu ya kamari na jinsi ya kuongeza nafasi yako ya kushinda ni rahisi sana na wala haina ugumu wowote. Tovuti hii pia hupatioana masoko mengi ya kamari unazoweza kuzuru na uongeze nafasi yako ya kujishindia pesa nyingi. Hivyo basi, kuhusiana na msimbo wa marupurupu wa kamari, hii ndio tovuti ya kamari ya mtandao bora zaidi hapa nchini Kenya.

Jiunge sasa na Betin Kenya na upate kuzidi kunawiri katika mchezo wa kamari wa kimtandao. Wakenya wengi wamejishindia pesa nyingi kupitia mchezo wa kamari. Usibaki nyuma tena basi. Fanya hima na ujiunge na Betin Kenya leo kwa nafasi yako ya kujipatia pesa za bure kabisa.

CHEZA KWA BETIN SASA!

en sw