Betting Promo Codes

Misimbo ya Mwongezo Kwenye Michezo ya Kamari - Asili

Kwa miongo mingi, matajiri wenye mali hapa nchini Kenya ndio waliokua na uwezo wa kihlea kucheza michezo ya kamari kwenye uwanja wa mbio za farasi pale Ngong Racecoursee. To nyakati hizo, wakenya wengi walikua wakiaminini kwamba michezo ya kasino ni ya matajiri pekee.

Kwa bahati mzuri, matumizi ya mtandao yamesambaa vilivyo na sasa, yeoyote anaweza kuingia kwenye ulingo wa michezo ya kasino. Kupitia mtandao, mamilioni ya wakenya wameweza kupata huduma za spoti za kasino ambazo hapo awali hazingepatikana kwa kila mwananchi. Kwa sasa, wakenya wengi wamepata nafasi ya kujiandikisha kwenye tovuti za kasino mtandaoni. Hata sasa, tovuti za michezo ya kamari za mtaa timeanzishwa na zinapata faida vilikvo kwani zina washiriki wengi zaidi hata kuliko za kimataifa!

ladbrokes

label_promo_maxbonus

Tumia msimbo huu wa marupurupu wakati wa kujisajilisha.

Kotokana na ushindani mkali uliotokana na kuwepo kwa tovuti nyingi za michezo ya kamari, kasino za mtandao sasa zimieanza kuwapa washiriki misimbo ya marupurupu (au bonus codes kwa kimombo). Misimbo hii imetolewa kuhakikisha kwamba huduma za michezo ya kamare zinavutia zaidi kwa washirika. Vilevile, tovuti zingine zatoa misimbo ya bakshishi za kulenga wanaopenda spoti ili zipate faida kuliko washindani wenzao.

Kutokana na kuwepo kwa tovuti nyngi kupindukia kwenye mtandao, ni rahisi kwa wewe mpenda kamari kuhisi ugumu wa kuchagua mahali ampapo utashisriki katika hiyo michezo. Hapa kwenye hii kurasa ya mtandao, tutakuonyesha tuvuti za kamare zilizopendwa zaidi na wachezaji kama wewe, hapa nchini na kimataifa kutokana na misimbo wanayotolea washilika ili wapate marupurupu murwa.

Katika sekta ya michezo ya kamari hapa nchini Kenya, mojawapo ya washikadau wenye karama zaidi ni tume ya udhibiti na leseni za kamari inayojulikan kwa kimombo kama BCLB (Betting Control and Licencing Board). Tume hii ya udhibiti ni chombo cha serikali cha kuhakikisha kwamba kila kampuni ya kamare hapa nchini inaendesha shughuli zake kihalali. Vilevile, kampuni zilizodhibitishwa na kupewa leseni zimetathminiwa kutumia vikwazo shupavu za kifedha na kisheria. Kwa hivyo, ukiona kampuni yoyote imepokea cheti cha kamari kutoka kwa BCLB, uwe na uhakika kwamba pesa yako ii salama na hakuna ukora wowote katika operesheni hizo za kamari. Hapa nchini Kenya, tume ya BCLB yachukuria kamari haswa ya spoti kuwa mchezo wa ujuzi na mwenye ustadi au uhodari zaidi ndiye aliye na uwezekano mkubwa wa kushinda. Sisi bia twaamini vivyo hivyo na ndiposa tumejitolea kukupa mwelekeo sahihi ili uweze kuwa a uwezekano mkubwa zaidi wa kushinda.

Makala haya yataanza kea kukupa orodha ya tovuti za kamari hapa nchini kenya zilizo bora zaidi. Kutoka hapo tutakuonyrsha tovuti za kimatiafa amabazo zinawapa wakenya nafasi nzuri ya ushindi. Vilevile, utapata misimbo tofauti ambayo itakupa marupurupu na bakshishi kadhaa wa kadha ipo kwenye ukaguzi huu wa kipekee wa tovuti za michezo ya kamari.

Kuna njia tofauti amabazo unawezatilia maanani ili ujue ni tovuti zipi za michezo ya kamari ambazo utapata thamani bora zaidi. Baadhi ya zile njia au vipengele muhimu zaidi ni kwa kuangalia: masoko yanayotolewa, misimbo ya marupurupu, asilimia za uwezekano, urahisi wa matumizi ya tovuti, huduma kwa wateja, njia za amana na kutoa fedha na uchezaji wa muda halisi. Ingawa tutalenga hasa misimbo ya kamari kwa nakala hii, njia tulizotaja japo awali zitachangia pakubwa kwa kutathmini tovuti zilizo bora zaidi kwa uchezaji kamari. Kwa hivyo, ni muhimu tugusie vipengele hivi kabla tuanze kutoa oradha ya tovuti bora zaidi za kamari ya mtandao.

Masoko Yanayotolewa

Ni dhahiri kuwa kamari za spoti ndio aina iliyo maarufu zaidi ya michezo ya spoti hapa nchini Kenya na karibu mataifa mengine yote duniani. Tovuti nyingi zilizo mtandaoni hutoa huduma za kamari za spoti kwa sababu kandanda ndio mchezo maarufu kabisa hapa duniani na vilevile ni rahisi sana kuielewa kandanda. Mara nyingi, watu hucheza kamare ya spoti kwa kuchagua matokeo tatu halisi yanayowezekana kwenye mchezo wa kandanda. Haya matokeo matatu ynayowezekana ni kama timu fulani itashinda, itashindwa au timu zote mbili zitatoka sawa.

Hata hivyo, wachezaji wengi hawajui kwamba kuna aina nyingine nyingi za matokeo ambazo zawezachezewa kamari kwenye mechi ya kandanda; kwa mfano, tovuti nyingi za kamari hapa Kenya huwapa wacheza kamari nafasi ya kuweka dau kwa uwezekano wa matokeo kama; timu gani itakayofunga bao ya kwanza? mabao ngapi yatafungwa kwenye kipindi cha kwanza? Mabao ngapi yatafungwa kwenye mechi nzima? Na matokeo mengine mengi. Mali na mchezo wa kandanda, unaweza kuweka dau kwenye michezo ya riadha, raga, tenisi, kura za siasa, mbio za farasi na karibu michezo ingine yoyote ya kitaalamu duniani.

Misimbo ya Marupurupu na Bakshishi za Kamari

Kabla ya muibuko wa tovuti za kucheza kamari za hapa nchini Kenya, waKenya wote wanaopenda michezo ya kamari walikua wanataka mahali ambapo wangeweza weka dau kwa tovuti za kimataifa. Kwa vile tovuti za hapa nchini zimeibuka, wachezakamari wakenya wamejawa na furaha kwani wanawezaweka dau kwa kasino za mtandao kwa kutumia mikoba ya rununu kama M-Pesa.

Isitoshe, vitu vimebadilika kabisa kwani kampuni hizi za michezo ya kamare zimetoa misimbo ya marupurupu na bakshishi ili kuwapa wacheza kamari manufaa ya ziada. Hata kabla haujajiandikisha katika tovuti hizi za kamari, ni vyema upitie nakala zilizo kwa tovuti kama hii yetu ili upate misimbo ya bakshishi na marupurup punde tu inapozinduliwa. Kwa kufanya hivyo, utaweza utaimarisha nafasi yako ya ushindi kwa urahisi. Kupitia misimbo hii, utapokea marupurupu tofauti kama kuweka dau za bure na bakshishi nyingine kadhaa wa kadha. Marupurupu haya hukupa dhamani zaidi na ndio maana haufai kukosa kuyafuatilia.

Tutaendelea kufafanua vipengele vilivyobaki vya kuathmini ubora wa tovuti za kucheza kamare katika makala haya hatua kwa hatua.

Betin Kenya

Miongoni mwa tovuti za kamari ya spoti hapa Kenya, hakuna yoyote inayotoa marupurupu bora kuliko Betin Kenya. Hapo awali, tovuti hii ilikua yajulikana kama GoldBet Kenya ambayo imekua ikihudumia wapenda kamari kwa miaka michache iliyopita na watega wamekua wakijongezeka kwa kasi. Kampuni hii imeandikishwa na kudhibitishwa na BCLB, kumaanisha imitimiza masharti yote ya kisheria.

Isikose, kampuni ya kizazi ya Betin Kenya amabyo ni GoldBet Group ni mojawapo ya kampuni rejareja huko Ulaya zilizo na miongo ya ujuzi wa hali ya juu katika sekta ya kamari. Ushirikiano huu ndio mojawapo ya sababu zinazofanya Betin Kenya iendelee kufanikiwa, kwa maana inatumia kanuni bora zaidi za huhakikisha viwangogezi kamilifu vya GoldBet Group vimedumishwa. Moja ya viwangogezi hivi ni kutoa maruprupu na bakshishi mara kwa mara kwa wateja wapya na wale wa kawaida wanaoendelea kucheza. Kiwangogezi kingine ni tovuti iliyorahisi kabisa kutumika kwa wachezaji wa aina zote.

Jiunge na Betin Sasa Hivi!

Kujisajili kwa tovuti hi ya kamari ni rahisi sana, na itakuchukua dakika chache pekee kumaliza shughuli za kuisajilisha. Katika kurasa ya wavuti ya kujisajilsha, wafaa kujaza maelezo yako binafsi kama jina lako na nambari yako ya simu. Mwisho wa fomu hiyo ya usajili, kuna nafasi maalum inayoashiria mahali pa kujaza msimbo wa marupurupu. Kwenye nafasi hiyo, jaza msimbo wa “MAXBONUS”. Kwa kujaza msimbo huu, utapewa nafasi halisi ya kupokea maruprupu ya kipekee kama urari bora zaidi wa kuweka dau katika masoko tofauti duniani kwote.

Ni rahisi kudhania kwamba hizi tofauti ndogo za uwiaono wa ushindi katika wavuti tofauti sio nzuri, lakini utastaajabishwa na nguvu za tofauti ndogo hasa wakati wa kuweka dau kadhaa mara moja au (multibet); Ambapo uwiano wa ushindi utazidishwa mpaka ufikie thamani ya jumla itakayochukuliwa kama uwezekano ama urari wa matukio hayo mengi kutokea. Kwa hivyo, tofauti hizi ndogo kati ya uwiano wa keweka dau kwebye tovuti tofauti za kamari zawezamaanisha ushindi wa pesa nyingi zaidi, bora tu uwe makini. Pia, kumbuka kuwa usipojaza msimbo huu wa uendelezaji utakosa marupurupu ya kipekee yaliyomo kwenye msimbo huu.

Marupurupu haya huiweka kampuni hii mbele zaidi ya kampuni zingine za kamari nchini Kenya. Hii ni kwa sababu msimbo hukuwezesha kupata hadi asilimia 50% ya upato wako wa ushindi unaotarajia. Mahitaji ya kukuwezesha kupata marupurupi ya asilimia 50% ni rahisi sana. Ni lazima ufuate vigezo vitatu tu. Kwanza ni lazima ukuwe umesajiliwa rasmi kama mtumizi wa Betin Kenya, kigezo muhimu hapa ikiwa ni kuweka undani sahihi wakati wa usajili. Pili, ni lazima uweke “MAXBONUS” katika maeneo maalumu yaliyoandikwa misimbo ya marupurupu, hii ikiwa njia pekee ya kukuwezesha kupata bakshishi. Mwishowe, ni lazima uweke pesa kati ya shilingi hamsini na nusu milioni kukuwezesha kuweka dau.

JIUNGE NA BETIN SASA

Betway Kenya

Hapo awali ikijulikana kama Royal Kenya Bets, kampuni hii imejiunga na kampuni ya kamari ya Uingereza, Betway walio wadhamini wakuu wa shati za timu ya West Ham United na hizi sasa wameweza kuwapa wateja wao mambo mengi zaidi kuliko hapo awali. Mbali na uwiano unaoletwa na muungano huu, kampuni hii imeomba pakubwa baadhi ya utenda kazi wema kutoka kwa kampuni hii ya Uingereza. Kwa mfano, Betway Kenya sasa inawapa wateja wake sera nzuri za kamari na masoko mengi kuliko hapo awali. Kigezo muhimu zaidi kinachofanya kampuni hii kusifika ni urahisi wa kutumia tovuti yao na hivyo basi kufanya ikuwe rahisi kuwekeza kamari ukitumia kampuni hii.

Mtandao uliorahisi kutumia ni moja kati ya vigezo ambavyo wachezaji kamari huangalia wakati wa kutafuta mtandao mzuri wa kamari. Ni muhimu sana kuchagua mtandao wa kamari ulio rahisi kutumia na unaokuweesha kuzuru masoko yote na kuweka kamari yako ukitumia njia iliyo rahisishwa zaidi. Katika mtandao wa Betway Kenya, ni rahisi kujionea matokeo kadhaa yanayopatikana na unaweza kuwekeza kamari yako haraka zaidi bila kuzunguka mahali kwingi.

Ilhali, kuna vitu kadhaa unafaa kujua kabila ya kujisajili na tovuti hii. Kwanza kabisa unfaa kujua kwamba unaruhusiwa kutoa pesa yako nyakati fulani mchana. Pia kampuni hairuhusu wateja wake kutoa pesa zaio siku ya Jumapili. Licha ya mambo haya mawili, kampuni hii ni lazima ujaribu kuitumia kama wewe upo miongoni mwa watumiaji wanaopenda urahisi wa tovuti kuliko kitu chochote kile.

Kampuni zazi ya Betway Kenya inajulikana kwa misimbo ya marupurupu na bakshishi za kamari. Mbali na kuweka kamari za kawaida, unaweza kuweka kamari ya nambari za kibahati inayoweza kushinda maelfu ya hela. Kampuni pia iko na shindano kuu la jackpot ambalo ukishiriki unaweza kuwa milionea. Shindano hili la jackpot ya Betway Kenya lina matukio kidogo hivyo basi kuwa rahisi kushinda.

Bakshishi ya kamari pekee inayopatianwa na kampuni hii ni ile ya kumleta rafiki yako. Ili kushiriki katika msimbo huu, jisajili tu na uweke angalau kamari moja kwa tovuti;kufanya hivi kutakuwezesha kupata bakshishi ya kamari. Baada ya kujisajili kwa tovuti hii, unaweza alike rafiki, mfanyi kazi mwenzako ama mpenzi wako kwa kujaza numbari yao ya simu kwa ukurasa wa uwasilishaji. Ukifanya hivi, ujumbe wa simu ulio na kiunganishi maalum utatumwa kwa simu ya rafiki yako akialikwa kujisajili kwa tovuti. Kama mtu atajisajili na kuwekeza kamari hata moja, utapatiwa bakshishi ya kamari ya shillingi 50 ambayo unaweza tumia kushinda pesa mingi zaidi.

Cheza Kwenye Betway

SportPesa Kenya

Hii pasi na shaka ndio kampuni inayoongoza kwa kampuni za michezo za kamari nchini Kenya. Kampuni hii ilikuwa moja kati ya kampuni kongwe za kamari za kimtandao hapa nchini na imekuwa kwa muda mrefu sasa. Tovuti hii inaaminika sana na wakenya wengi. Kwa miaka mitatu iliyopita kampuni hii ikifanya biashara hapa nchini, imeweza tangaza wakenya kadhaa kama washindi wa michezo ya wiki ya jakipot. Msimbo huu wa jakipot ndio ni moja kati ya vigezo vingi vinavyowavutia maelfu ya watumiaji kujisajili kwa tovuti. SportPesa pia huwapa wateja wake masoko mengi ya kamari kama vile ligi za mpira za hapa nchini na hata za Uropa. Kampuni hii pia ni wadhamini wa ligi kuu ya Kenya na pia klabu ya mpira ya Gor Mahia. Kama wanaweza kudhamini ligi pamoja na klabu hii, basi ni hakikisho kamili kwamba kampuni hii inajiweza kifedha kukaa kwa miaka mingi. Fauka ya hayo, SportPesa imesajiliwa na BCLB.

Kuhusiana na bakshishi za kamari, kuna aina mbili kubwa za bakshishi zenye unaweza pata kwa kampuni hii hususani bakshishi za Kamari za jackpot na bakshishi ya kirafiki. Kati ya bakshishi hizi ile inayojulikana zaidi ni ile bakshishi kamari ya jakipot. Kila wiki, kampuni hii ya kamari huwapa wateja wake nafasi ya kushinda mamilioni ya shilingi. Ili kushinda mamilioni ya jakipot, unahitaji kubashiri matokeo ya michezo kumi na tatu (hasa michezo ya kandanda) na endapo ubashiri wako ukamilike basi unaweza kuwa mshindi wa mamilioni ya pesa. Lakini, kama ubashiri wako haukuamilika lakini upate michezo kumi na mbili, kumi na moja ama kumi basi kampuni ya spotipesa itakuzawadi na pesa kiasi Fulani na unaweza kuzitoa mara moja kupitia kwa akaunti yako ya Mpesa. Bakshishi ya kamari nyengine ni ile kirafiki. Hii ni rahisi kupata kwni huhitaji kuwa na weledi wowote. Unachohitaji kufanya ni kujisajili kwa tovuti halafu uwekeze kamari angalau kwa tukio moja (hii itakugarimu shilingi mia moja kwa kiasi cha chini zaidi). Halafu alika marafiki wajiunge na spotipesa kwa kuwauliza watume ujumbe huu wa simu: ACCEPT (nambari yako ya simu) kwa 79079. Wakati rafiki yako atafanya hivyo na kuweka kamari kwa tovuti, akaunti yako itaweza kuwekewa bakshishi ya kamari ya shilingi mia moja. Lakini kumbuka kuwa utapata tu bakshishi hili iwapo rafiki yako hakuwa amejisajili na SportPesa hapo awali.

Thamani ya pesa utakazo shinda haijulikani bali inategemea na nambari ya watumiaji watakao bashiri kiukamilifu michezo kumi, kumi na moja , kumi na mbili ama michezo yote.Hivyo basi unaona ni jinsi gani spotipesa ni maarufu sana miongoni mwa vijana wa Kenya. Pia wewe unaweza kuongeza kipato chako kwa kujisajili kwa tovuti na uendelee kujifurahisha na bakshishi za kamari za kimtandao.

Misimbo ya Kamari ya Michezo ya Kimataifa ya Kimitandao

Tovuti mingi za kamari za Kenya zimekuwapo kwa muda usiozidi miaka mitano. Lakini zimeweza kutega soko la kuzingatiwa. Naam, wakenya wengi hucheza kamari katika tovuti za hapa nchini. Lakini pia wakenya wengi wamejisajili na kampuni za kimataifa za kamari na wanafaidika sana huko.Kuna manufaa mengi ambayo tovuti za kamari za kimataifa hutoa ikilinganishwa na tovuti za hapa nchini. Kwa mfano,tovuti za kamari za kimataifa zilizo na watumizi wengi hupeana takwimu nzuri za kamari kuliko tovuti za humu nchini kwa sababu zinaweza kulipa hela kubwa. Pia wahudumu wasaidizi wa wateja katika kampuni hizi za kimataifa huwa bora zaidi kuliko zile za hapa nchini. Hizi hapa kati ya tovuti za kamari kimataifa ambazo unaweza weka kamari:

Bet365

Hii ni moja ya mpangilio utumizi unaopendwa zaidi hapa nchini na hata kimataifa. Kampuni iliyozinduliwa 1999 ndio moja nzuri katika misimbo ya kamari wanayowapatia wateja wao wageni na hata wale wateja wao wa kitambo. Zaidi ya watumiaji wanaozidi milioni kumi na nne wanaoamini kitengo hiki hawawezi kuwa makosa. Moja kati ya soko lenye kufurahisha kwa wakenya kwa tovuti hii ni ile ligi kuu ya Kenya. Masoko mengine yatakayokufurahisha kwa uhakika ni michezo ya ligi kuu ya Uingereza na matukio mengineo ya kimataifa kama vili mbio za farasi, mpira wa raga na riadha. Bet365 hukubali kuwekwa pesa aina tofautitofauti kama vile paundi ya Uingerza na dola ya Marekani na pia hukubali aina zengine za kulipa za kimtandao kama vile PayPal, kadi za benki, Skrill na hata Neteller ambazo ni maarufu sana miongoni mwa wakenya. Ni ukweli pasi na shaka kuwa kampuni hii imekuwa ikishinda tuzo nyingi huko Uingereza. Pia kigezo kingine kinachowavutia watu kujisajili na Bet365 ni ule uwezo wa kucheza kamari inayoendelea. Katika utaratibu huu, unaweza kuweka kamari yako hata kama baadhi ya matukio yashaanza. Ukilinganisha na tovuti zingine, tovuti ya Bet365 inavutia sana kwa macho nan ni rahisi kutumia.

Wakenya wengi sana wamejisajili na tovuti ya michezo ya Bet365 kwa minajili ya marupurupu ya asilimia mia moja unapoweka pesa kwa mara ya kwanza. Ili kupata marupurupu haya mtu anahitaji kujisajili kwa tovuti na kuweka kiwango chochote cha pesa zaidi ya dola kumi. Baada ya kujisajili, kampuni itakutumia ujumbe pepe ikiwa na kodi maalumu inayoisha na “NCDBP” Licha ya kiwango cha pesa utakachoweka, marupurupu huhesabiwa kwa dola mia moja. Hii inamaanisha ya kwamba hata ukiweka dola 200 hutapata marupurupu ya dola 200 bali utapata dola 100 kama marupurupu yako.

Ukipata nambari hiyo maalum, basi ingia kwa akaunti yako na uende sehemu iliyo na marupurupu halafu uweke kodi yako tofauti. Utazawadiwa na kiwango Fulani cha pesa kulingana na kiwango cha pesa ulichoweka kwanza. Lakini hela hii inaweza kutumika tu kwa kamari na wala huwezi kuitoa. Pia, punde tu unapoweka kamari yako ya thamani ya asilimia 300% ya kiwango chote cha pesa pamoja na marupurupu basi utaweza kutoa akiba yako na uitume mara moja kwa akaunti yako ya benki.

Betfair

Betfair ni moja kati ya kampuni za kamari zinazoongoza nchini Uingereza. Kampuni hii inajulikana zaidi kwa huduma zao nzuri za wateja na takwimu zao za juu kwa masoko ya kamari kama vile ligi kuu ya Uingereza, Ligi 1 na pia Ligi ya Uhispania La Liga. Vile vile kujisajilisha kwa tovuti hii hukuwezesha kucheza kamari hata kwa michezo mingineo kama vile mbio za farasi, mpira wa vikapu na hata ndondi. Betfair iko na misimbo mizuri zaidi katika viwanda vya michezo. Katika msimbo, ukiweka kamari yenye thamani zaidi ya paundi kumi za Uingereza katika mseto wako wa kwanza wa kamari, basi utatunukiwa na paundi 30 za Uingereza kama kamari ya sare. Hii ni moja kati ya sababu zilizowafanya wakenya wengi kujusajili kwa tovuti hii.

Ili kupata bakshishi hii ya kamari, unachohitaji kufanya ni kujisajili kwa tovuti halafu utajipata katika njia ya kutengeneza na kujishindia pesa za bure.Unapojisajili hakikisha umetumia msimbo huu wa kamari “ZSK200”. Halafu weka kamari yako (kiwango cha chini zaidi ni Paundi 10) kwa tukio moja ikiwa na takwimu zaidi ya 1.2 katika mwezi wako wa kwanza wa kujisajili na Betfair. Baada ya siku moja baada ya kuweka kamari hii, akaunti yako itazawadiwa paundi 30 kwa vitita vya thamani ya paundi 10 kila moja. Ila tia maanani kuwa bakshishi hii ya kamari inafaa kutumiwa katika siku thelathini baada ya kutunukiwa katika akaunti yako na pia inaweza kuwekwa kamari kwa michezo iliyo na takwimu zaidi ya 1.2

Ladbrokes

Utumizi huu umekuwa hapa duniani kwa zaaidi ya karne na ndio kampuni ya kamari ya kimtandao inayoaminika duniani kote. Wao ni kipenzi cha wengi huku wakiwa na wafuasi wengi wa kimataifa, na hiyo sio bila sababu. Baada ya kuhudumia wateja wao kwa zaidi ya karne, kampuni hii imeboresha utenda kazi wake hasa kwa huduma za wateja wao.Hawalipi tu washindi wao kulingana na sheria na masharti yao bali pia wao huweza kutuma pesa hizi kwa akaunti ya benki ya mshindi. Wao pia huwa na takwimu za juu zilizo na uhakikisho kamili katika soko. Mgutuo wa bei za kampuni hii umerahisisha jinsi ya kucheza kamari ikilinganishwa na kampuni zengine. Ladbrokes pia hupeana masoko kadha wa kadha kama vile kandanda, mbio za farasi, mpira wa mkwaju pamoja na michezo mingineo yenye kusisimua katika matukio ya kamari.

Moja kati ya kitengo maalum kinachowavutia wanakamari kujisajili na Ladbrokes ni misimbo yake. Wateja wageni wa kampuni hii wanaweza kupata hadi paundi 50 kama bakshishi ya kamari. Utaratibu wa kupata bakshishi hii ni rahisi sana. Unahitajika kujaza maelezo kamili wakati wa usajili na uweke msimbo “F50” wakati wa usajili. Ukishafanya hivyo, weka kamari yako (kiwango kidogo zaidi ni paundi 10) na kampuni itaunganisha kamari yako hadi paundi 50.

Licha ya kuwa utaratibu huu ni rahisi, kuna mambo kadhaa unayotakiwa kuzingatia wakati wa usajili. Kwanza, wakati wa usajili hakikisha umeweka kodi kamili, na usipofanya hivyo hutaweza kupata bakshishi za kamari. Pili akaunti yako itakapotunukiwa bakshishi, basi hakikisha umeitumia katika juma moja la sivyo haitakuwa inatumika tena.Mwisho kabisa kumbuka kwamba utazawadiwa bakshishi hii pale utakapoweka kamari yako iliyo na takwimu sio chini ya nusu.Takwimu ya chini inaweza isikuwe sawa na zile za kampuni zingine lakini kumbuka kwamba kampuni hii hupeana bakshishsi kwa kamari ya tukio moja ukilinganisha na kampuni zingine zinazowataka wateja wao kuweka kamari kwa amatukio zaidi ya moja ndipo waweze kupata bakshishi hii.

Bwin Sports

Tangu 1999 Bwin imekuwa ikitoa huduma za kamari kwa watu wengi kote duniani. Wakenya pia wako na fursa ya kujisajili na kampuni hii. Bwin ilipata umaarufu wake wakati walipojitolea kuwa wadhamini wa shati za timu ya RealMadrid. Kmapuni hii imepanua utenda kazi wake katika masoko mengi ya kamari kutoka kwa kandanda hadi mpira wa raga, mpira wa mikono, mbio za magari, mpira wa vikapu pamoja na kandanda. Mchezo wowote ule unaotafuta kuna uwezekano mkubwa kuwa utaupata hapa.Moja kati ya vitu vilivyowavutia wateja wake zaidi ya milioni moja ni misimbo yake ya kuvutia.

Kati ya misimbo yake, hakuna msimbo ulio mzuri na wa kuvutia kuliko marupurupru Chash Out (Toa Pesa) na PROTEKTOR (Kumaanisha Mchungaji). Kwa msimbo wa Toa Pesa, Bwin hukuruhusu kutoa pesa yako aitha kabila ya mchezo kuanza ama hata katikati ya mchezo ukiendelea. Kwa namna hii basi unaweza kujiondolea hasara na hivyo basi kukuwezesha kupata faida nyingi. Unachohitaji kufanya ni kwenda kwa mchezo wenyewe na kuangalia kama msimbo huu unapatikana kwa mchezo huo. Kwa msimbo wa PROTEKTOR, unachohitaji kufanya ni kuweka kamari yako kwa matukio zaidi ya moja halafu ulipie michezo kadhaa amabayo ungetaka uchungiwe. Hivyo basi utaweza kushinda hata kama baadhi ya michezo uliyoweka itakua imeanguka. Zawadi hizi mbili ndio sababu kuu inayofanya watu wengi kuamini Bwin na kamari zao. Kama wewe ni mcheza kamari mtulivu na mwenye umakinifu, basi Bwin ndio mtandao bora kwako kwa kamari. Pia unaweza kutazama wazi wazi masoko zaidi ya 16,000 ambapo unaweza wekekza kamari yako kwa Bwin. Ni kampuni gani ingine ile Uropa mzima ama mahali penginepo pale duniani itaweza kukupa misimbo ya Toa Pesa na PROTECTOR?, Hamna.

888 Sport

Hii tovuti ya kimtandao ya kamari ni moja kati ya kampuni zenye tovuti za kamari za kusisimua ambayo unaweza kujisajili na ushinde pesa kama mwanakamari mkenya. Iko na maelfu michezo inayoendelea na pia ile bado kuanza ya masoko ya kamari ambayo unaweza kuwekeza kamari yako. Kama mkenya pengine umekuwa ukitafuta tovuti bora iliyo na usimamizi mzuri wa mitambo ili kukuwezesha wewe kucheza kamari yako bila tafashi, basi hii ndio tovuti bora zaidi kwako. 888 Sport inamilikiwa na mabwenyenye wanaomiliki kampuni ya 888 iliwekwa kwa soko la hisa la Uingereza. Hakuna kitu kinakupa uhakikisho kama huu. Vile vile kampuni hii iko na tovuti rahisi inayoweza kutumika kwa rununu.

Mbali na matukio ya kamari yanayoendelea, unaweza kuzuru kurasa zenye bakshishi n a maruurupu ya kamari ya kampuni hii na ujionee ni jinsi gani uaweza pata mapato yako kwa mara mbili ama mara tatu. Na si hivyo tu bali kampuni hii iko na takwimu nzuri kwa masoko wanayopeana. Fauka ya hayo, unaweza wekeza kamari yako kwa mchezo wowote katika tovuti hii kuanzia kandanda, mbio za farasi, mpira wa magongo na aina zingine zile za masoko ya kamari.

Utaratibu wa kujisajili pia ni rahisi sana na maelezo yoyote yale ya kibnafsi unayopeana hulindwa vizuri sana. 888 Sport iko na misimbo ya kamari ya marupurupu ya kushangaza zaidi. Tovuti hii itaongeza takwimu katika kamari yako ya tukio moja (hadi paundi 10 za Uingereza kwa upande wa juu zaidi).Kwa mfano tukichukua upande wa juu zaidi na kufikiria kuwa umewekeza kamari ya paundi 10 katika tukio moja lenye takwimu ya 10/1 na ushinde katika tukio hilo basi 888 Sport itakulipa kana kwamba takwimu ilikuwa 30/1 ikiongezan mapato yako na paundi 200 za Uingereza. Pia ukitumia kodi “888TV PROMO” wakati unapoweka kamariya paundi 20 za Uingereza utapata marupurupu ya paundi 10.

Walakini, kampuni hii, kama kampuni zingine zile za kamari, huwa na sharia na masharti yalioambatanishwa na misimbo yake ya akamari. Sharti la kwanza kiwango cha chini zaidi cha pesa unazofaa kuweka ili uweze kupata bakshishi ni Pauindi 5 za Uingereza. Pili, marupurupu ya pesa yanayoweka kwa akaunti yako iko kama vitita na haiwezi kutolewa. Ila usjali kwani utaweza kutumia vitita hivi kuweka kamari na ushinde pesa halisi.

Cheza Kwenye Betin Kenya

en sw